Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Nimmejaribu kuwaza maisha aliyoishi yule kiumbe hadi sasa sijui kama yupo yani

kama yupo niambiwe ni nani nione mabalaa yake,ila kwa pablo nmemvulia kofia.
mkuu😂 ngoja nikupe siri yangu.mimi nikitaka kuoa napanda pipa naenda cuba,colombia na puero rica nachagua pisi moja kila nchi.hapa natafuta tu maisha,wale watoto ni malaika aisee.ukipata muda nenda youtube search cuban Girls uone documentary huko
 
Full name yake mkuu anaitwa nani?
 
Mbona hela zipo nyigi tu, sema haujamuua kuwa nazo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…