Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Nakumbuka kuna mabinti mawili chuoni walinitafuta kwa ajili ya kuwapiga picha, mmoja wao ikabidi nijiongeze kwake ili nile kimasihara na picha nikawa nampiga bure (kwenye kumpiga picha za bure alikuwa na pozi za hatari nikaona huyu nimeingia choo cha kukalia afu me mtoto wa uswazi cjazoea ikabidi nikimbie 190km/h
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…