ππππππYou only feel sorry for my parents. U don't care about what the society think ....M wanafunzi wa Chuo kikuu huyu.
Andika tu kiswahili siku nyingine.Ni bora kuongea lugha yako ya Taifa kuliko kuchanganya sumu hivi
Huyu anatumia jina gani?
Ni shidaaaaDunia ni tamu sanaView attachment 1579794View attachment 1579795
Aaaaaa kaka usha tengua kauli tenaNimeisha mfollow na ahadi kem kem dm kwa kuwa mume bora kwake [emoji2][emoji2]
Acha tu... haya mambo mmhAaaaaa kaka usha tengua kauli tena
Chuo cha Usimamizi wa Fedha, Dsm mkuu
[emoji3][emoji3]mkuu sogea South Sudan Chap hapo unamkuta,hatumii simu huyu.Connection please
Ndio elimu yetu mkuu si yakuunga ungaChuo gani huyu bibie anasoma.Ni bora angeandika tu Kimasai angeeleweka.Hopeless.
π¬π¬π¬π¬π¬π¬π¬π¬π¬