Sijui kwanini nawaogopa sana ma manzi waliochora tattoo
Wengi wao beki hazikabi,ni kama identify ya serviceSijui kwanini nawaogopa sana ma manzi waliochora tattoo
Duh...litakooo la maana
Mi nikiona hivyo huwa nahisi wanazibuliwa mtaro.Sijui kwanini nawaogopa sana ma manzi waliochora tattoo
Manzi yupo supa sana huyu. Anaitwa nani?Wanangu wa Moshi tupo pamojaView attachment 1583748