Huyu dada namtafuta sana insta ni wa Botswana nitagie account yake
MrwandaHuyu dada namtafuta sana insta ni wa Botswana nitagie account yake
Eeeh mkuu naomba nipe link ya account yake kama unaijua alikuwa anafuga ng'ombe kwenye picha moja niliyoionaMrwanda
Kuipata shughuli mkuuEeeh mkuu naomba nipe link ya account yake kama unaijua alikuwa anafuga ng'ombe kwenye picha moja niliyoiona
Kwahiyo? Ila wenyeviti wa vijiji mna ishu zenu ndogondogo za ajabu.Uzuri wa mtu uko machoni Kwa mtu anayemtazama,hizi picha zote ni vipaumbele vya hao waliozipost,unachokipenda ww huenda mm niskipende?