ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
AyeehWorld wide![emoji3059][emoji3059][emoji3059] View attachment 1604610View attachment 1604611View attachment 1604612View attachment 1604613View attachment 1604614
😃😃😃 Siku ya mafuriko nilipanga nije.. ila nilipo ona imeanza huko nikaona nibaki na wasukuma wangu huku.Wachaa weee!! Naona umetuachia mafuriko yetu. 😀
Wajomba wote wazima rafiki.
Hahahaaa. Wasalimie hao wasukuma Rafiki.😃😃😃 Siku ya mafuriko nilipanga nije.. ila nilipo ona imeanza huko nikaona nibaki na wasukuma wangu huku.
Nafurahi sana kusikia jombaa wapo njema
Akiwa mke mwema huyu ukimueka ndani burudani kabisaKasura kazuuri wallahView attachment 1604369
Hivi huko usukuman kuna pisikali kama dar?[emoji2][emoji2][emoji2] Siku ya mafuriko nilipanga nije.. ila nilipo ona imeanza huko nikaona nibaki na wasukuma wangu huku.
Nafurahi sana kusikia jombaa wapo njema
Karibu sana rafiki na jombaa zangu.. mje mle sato fresh 🙂🙂Hahahaaa. Wasalimie hao wasukuma Rafiki.
Tuko pamoja rafiki.
Pisi za huku ni kali zina shape.. alafu siku hizi pisi nyingi za dar zinahamia mwanza 😃😃. Dar kama hawana hela vileHivi huko usukuman kuna pisikali kama dar?
Alafu pisi za mwanza hazijui kabisa kupiga mizinga.. kama pisi za utapelini huko dar.. pisi ili kuongea uipe laki moja.. hiyo laki ya zimbabwe nini 😀😀😀Hivi huko usukuman kuna pisikali kama dar?
Nitafanya ziara desember hukoPisi za huku ni kali zina shape.. alafu siku hizi pisi nyingi za dar zinahamia mwanza [emoji2][emoji2]. Dar kama hawana hela vile
Hahaa laki wakat utamu mnapata woteAlafu pisi za mwanza hazijui kabisa kupiga mizinga.. kama pisi za utapelini huko dar.. pisi ili kuongea uipe laki moja.. hiyo laki ya zimbabwe nini [emoji3][emoji3][emoji3]
Dah! hii kitu nikiwa nayo ndani silaliMungu fundi sana aiseh.. [emoji847]View attachment 1605147
Kwanini mkuu, I mean why usilale au utakua unakula mzigo all time [emoji23]Dah! hii kitu nikiwa nayo ndani silali
Unalala vp upo along side na hio Pisi?Kwanini mkuu, I mean why usilale au utakua unakula mzigo alk time [emoji23]
Huyu demu ni mzuri kwa kweli sema kichwani atakuwa mweupe sana
Wanawake wengi ndio walivyo haswa hawa wazuriHuyu demu ni mzuri kwa kweli sema kichwani atakuwa mweupe sana