Mwanangu watoto natural wameadimika kinoma kama noti ya mia5.
Sema sure man Manniga wengi hatufake life tuko original, wana wachache tu wanatufelisha ile mbaya.
Kwenye nguvu hapo, nauza sana mkongo, niliiona fursa 😂👊🏾
Ubaya ubwela.
Editing icho kichwa sio chake..