Vipi mkuuYesu!
nipe picha kwanza usiniuzie mbuzi kwenye guniaNjoo nilipo unione achana na picha 🤣🤣🤣🤣
Mmmh..karembo kweli!!karembo sana
sema katakuwa -18 hako
Wewe njoo na majani tu huyu mbuzi anauzika mbona mkuu 🤣🤣🤣🤣nipe picha kwanza usiniuzie mbuzi kwenye gunia
Katika hizi picha unazopost naamini ni mmoja wao...shida kung'amua hii puzzle 😅😅