ππ.. usitutanie wewe.. mtu akubali kukupa linda alafu ukamuacha.. hii kesi imfikie anasbo
KIjana kakwama wapi? yani unazwadiwe bure halafu unasusua?
Mimi kuna mmoja aliwahi nipandishia bei juu kwa juu chumbani, alikua yupo sild kabisa. nikaishia kumpa hela yote niliyonayo lakini Jicho likatofoloewa. Asubuhi nikaishia kutilisha huruma kwa ndugu na marafiki wanitumie hela ya basi nirudi dar nilikua Moro πππ
Ila nilienda jivuta kama wiki tatu nikamtumia nauli akaja dar nilijimwaga nae wiki mbili mpaka nikahakikisha marinda yameisha yote ndio akarudi ππ
Ila hela nyingi ilipukutika lakini sijawahi ijutia