Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Mbinguni tunaenda kwa neema na rehema za Mungu, na sio kwa matendo yetu. anasbo unaweza kuta neema na huruma iliyopo juu yake ni kubwa kuliko hata washinda kanisani na waimba kwaya na nyie mnajiona watakatifu
Hahaaa ni kweli aisee,Kuna ule uzi wa mambo ya dini na malaika ulishuka nondo mpaka nikahisi wewe padri,nilishituka Sana nilipokuona kwenye huu uzi Tena[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…