swahiba Senior
JF-Expert Member
- Nov 12, 2016
- 2,478
- 3,628
Nifanyeje kuweza kugungua attachment za mfumo huo? Zamani nilikuwa na app Kama TubeMate, vidmate, videorder, zilikuwa zinafungua now haiwezekani nakosea wapi wapendwa?Kikohozi oyeeeView attachment 1683179
Tumia y2mate pitia googleNifanyeje kuweza kugungua attachment za mfumo huo? Zamani nilikuwa na app Kama TubeMate, vidmate, videorder, zilikuwa zinafungua now haiwezekani nakosea wapi wapendwa?
Nipe muda maana mimi siwezi kuweka mapicha ya namna hiyo kwa phone.Naomba niwajue hao kuku wa kienyeji chief
Hawa hapaNaomba niwajue hao kuku wa kienyeji chief
Hata mimi hili tatizo linanitokea sana msaada kwa anae jua tafadhaliYaani kila nilitaka kufungua hizo attachment simu inanirudisha hapa..View attachment 1683907
Anapenda hela kishenziNlilkutana nae rock city marathon
Nilifikir Niko peke yangu, jf fanyien kazi hii kituYaani kila nilitaka kufungua hizo attachment simu inanirudisha hapa..View attachment 1683907
Kiukweli inaboa Sana. Yaani unatamani kufungua video au picha inagoma, wakati unakuta una app nyingi tu kwenye divice zinazoweza kufungua.Nilifikir Niko peke yangu, jf fanyien kazi hii kitu
Hili tatizo hata mimi linanisumbua,hebu wadau tusaidieniYaani kila nilitaka kufungua hizo attachment simu inanirudisha hapa..View attachment 1683907
Hili tatizo linatusumbua wengi sana humu ndani mods njooni mtoe maelekezo tatizo nini na nini cha kufanya ili kuepukana naloYaani kila nilitaka kufungua hizo attachment simu inanirudisha hapa..View attachment 1683907
Hata mimi ivo ivo mkali.Yaani kila nilitaka kufungua hizo attachment simu inanirudisha hapa..View attachment 1683907
Nisambazie hio neemaMKuu kuna Connection moja uliwahi nipa, Dah nilipiga mtaro mpaka nikatapisha tope kitandani ile mpaka noma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]