Mnatuzingua hamtoi connection, mpigwe konzi na shetani [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Na kama kuna mwanaume serious anataka mke halafu akaoa mmoja kati ya wanopostiwa humu.....atakuwa hana akili timamu.Kuna dalil zote kuna wake watarajiwa wa memba wa jf picha zao zinaanikwa jamvini
Na VP km huyo bibie picha yake imetumwa bila ridhaa yakeNa kama kuna mwanaume serious anataka mke halafu akaoa mmoja kati ya wanopostiwa humu.....atakuwa hana akili timamu.
Na yeye kwanini ajiweke kwenye mazingira ya picha yake kupatikana bila ridhaa yake?Na VP km huyo bibie picha yake imetumwa bila ridhaa yake
Unamaanisha ww haupo kwenye kundi lolote la watsup hauwek status hautumii fbNa yeye kwanini ajiweke kwenye mazingira ya picha yake kupatikana bila ridhaa yake?
Nipo sana....ila huwezi ikuta picha yangu hata siku moja. Najuwa madhara ya kujipost mitandaoni.Unamaanisha ww haupo kwenye kundi lolote la watsup hauwek status hautumii fb
Duuuuuu!!!! La mashoga??? Inabid unitake radh mnamaNipo sana....ila huwezi ikuta picha yangu hata siku moja. Najuwa madhara ya kujipost mitandaoni.
Huwezi nikuta hovyohovyo mzee.
We endelea tu kujipost siku ukutane na picha yako iko kwenye group la mashoga.
Nisamehe mzee......ila usipende sana kujianika mitandaoni. Bora uwe unapost ujinga kuliko kujipost wewe.Duuuuuu!!!! La mashoga??? Inabid unitake radh mnama
Mh.Waziri wa nyumbani kwetu hebu fanya connection hapa chapuu!!!
+255 758 007 904soon nawaletea numberView attachment 1701043
Mkuu una oa picha? Kwanza mpka picha yake kufika humu jipe hongera kua una kisu kikaliNa kama kuna mwanaume serious anataka mke halafu akaoa mmoja kati ya wanopostiwa humu.....atakuwa hana akili timamu.
Endelea kujipa hongera.....siku ukijakujielewa ndo na yeye utamuelewa.Mkuu una oa picha? Kwanza mpka picha yake kufika humu jipe hongera kua una kisu kikali
Mzee kaonane na madereva bodaboda.....hao ni msaada si tu kwa usafiri.....bali hata kwa pakulala na mambo yetu. Hao mi nawaelewa sana.NIMEINGIA LINDI MJINI SASA HIVI. HAKUNA MWENYE CONNECTION HAPA KWA LEO?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Hapa lindi we una uzoefu nao?Mzee kaonane na madereva bodaboda.....hao ni msaada si tu kwa usafiri.....bali hata kwa pakulala na mambo yetu. Hao mi nawaelewa sana.
[emoji23][emoji23][emoji23]mzee mi nimekupa ushauri tu.