Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

Zmeena orr ana ulemavu gan mzee
Amezidisha kujishindilia hizo nyama matakoni. Baadhi yao zimeanza kuwaletea matatizo na inabidi kufanya operesheni kuziondoa ili warudi kama walivyokuwa zamani. Mmojawapo ni huyu [emoji116][emoji116][emoji116](MsmiamiTv). Amekaa na hizo nyama kwa miaka 10 na umri kidogo umeanza kwenda akaanza kupata complications na imebidi aziondoe tu. Haijulikani hawa akina Zmeena Orr watakuwa na hali gani huko nyuma wakigonga 50+


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…