Mamamamamamaaaaa
🤣🤣🤣🤣Trako hili ukiwa unalipiga kofi vile linavyoliaga linahamasisha dogg kinoma!
Ukipata ni pm na Mimi mkuuMwenye link telegram ni PM
Ukipata ni pm na Mimi mkuu
Tuma namba pmMwenye link telegram ni PM
Sema viwanawake vya hivi vina mdomo balaa. Unaeza sema tu chakula kitamu ila chumvi imezidi kidogo ikawa kesi. Yaani hata kakiwa kana kunawisha mikono utasikia....."nawa,chumvi isije ikazidi mikononi",kakikupa labda juisi utasikia....,..."onja nayo isije ikawa ina chumvi",mkienda lala utasiki,"ngoja nilale ukutani nisije nikakupaka chumvi".