Mgeni humu utakuaLengo la hii thread ni nini?
Ili iweje?
Vipi chief, unataka nikupoze na ngapi?! Nabata ushungu njuluku ipo![emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
Hawafaidi cho chote. Wakati wa ku-shoot kunakuwa na watu zaidi ya sita pale. Kuna wa makamera kama watatu hivi wanachukua kila angle, kuna mtu wa lighting, observer...na sijui wa nini. Na kuna kurudia rudia sana scene moja inaweza kuchukua hata masaa matatu....Hiyo final product unayoiona imekuwa edited sana. Wakati huo umekula ma-viagra moyo unakuenda mbio...siyo kazi rahisi kama unavyodhani; ndiyo maana ukiwaangalia hata hisia hawana. It is pure business!"Wanaume wanaoigiza pono, wanafaidi sana"
-Mdau toka DM
Jizazi [emoji15][emoji15][emoji15]
Huyu mara nyingi namwona Amna mrejesho wa ALIYEMKOJOLEA?
Huyu mara nyingi namwona Amna mrejesho wa ALIYEMKOJOLEA?
True💯... Pale ni biashara, hakuna privacyHawafaidi cho chote. Wakati wa ku-shoot kunakuwa na watu zaidi ya sita pale. Kuna wa makamera kama watatu hivi wanachukua kila angle, kuna mtu wa lighting, observer...na sijui wa nini. Na kuna kurudia rudia sana scene moja inaweza kuchukua hata masaa matatu....Hiyo final product unayoiona imekuwa edited sana. Wakati huo umekula ma-viagra moyo unakuenda mbio...siyo kazi rahisi kama unavyodhani; ndiyo maana ukiwaangalia hata hisia hawana. It is pure business!
Huyu manzi ana elimu saana na kwao wapo vizuri saana kiuchumi
Money is not everything.Vipi chief, unataka nikupoze na ngapi?! Nabata ushungu njuluku ipo!
Toa connection baharia!Money is not everything.
[emoji1][emoji1]
Kweli hawezi kukuelewa, atulie kwanza atauwelewa huu uziukifikia atleast senior ntakutafuta nikupe maelekezo sasa hivi huwezi kunielewa
Ukifikiria NI ukweli maana wanapata fedha baada ya kuigiza na Raha ya 6*6 ...Ila risk ndo km kupata magonjwa ya zinaa km ukimwi...kuna documentary moja Niliona mwamba mmoja black porn actor aliipatia possibly wakati anashiriki kwenye video huko brazil"Wanaume wanaoigiza pono, wanafaidi sana"
-Mdau toka DM
[emoji23][emoji23][emoji23] Ila ukweli Mzee......Hawafaidi cho chote. Wakati wa ku-shoot kunakuwa na watu zaidi ya sita pale. Kuna wa makamera kama watatu hivi wanachukua kila angle, kuna mtu wa lighting, observer...na sijui wa nini. Na kuna kurudia rudia sana scene moja inaweza kuchukua hata masaa matatu....Hiyo final product unayoiona imekuwa edited sana. Wakati huo umekula ma-viagra moyo unakuenda mbio...siyo kazi rahisi kama unavyodhani; ndiyo maana ukiwaangalia hata hisia hawana. It is pure business!
Hawa huwa wanatoka huko makwao na kuja jijini Los Angeles kujaribu bahati yao Hollywood wakidhani kuwa ulimbwende wao utawasaidia kuwa movie stars. Baadaye wanagundua kuwa bila connections Hollywood hakuingiliki hata uwe mrembo kama malaika. Na kwa vile maisha ni ghali sana basi wanajikuta wameangukia katika porn. Na kwa vile kila porn studio inajitahidi kutafuta new talents ili kubakia kwenye gemu, mwanzoni mwanzoni pale wanalipwa vizuri sana na kutegemea na performance yao kwenye soko (kama wanapendwa na wateja na kazi zao kuuzika sana), wachache wao wanaweza hata kupata mikataba ya mwaka mmoja au miaka kadhaa. Wengi wao hata hivyo hukumbwa na frustrations tu, msongo wa mawazo na huishia kujikita katika pombe, madawa na ukahaba. Mwishowe huondoka Fernando Valley (makao makuu ya uzalishaji porn Marekani) wakiwa na mioyo iliyopondeka, wamedhalilika kabisa na wengi wao hufa mapema sana. Hata wachache wanaofanikiwa kama akina Cherokee D'ass, Mia Khalifa na Jameson ukiwasikiliza interview zao kwa ndani ni majuto tu na wanatamani sana kama wasingejiingiza katika biashara hii. Ni kazi ya laana na yenye kuharibu utu, roho na mwili!