Special Thread to learn HTML, CSS and JAVACRIPT (Web Development) by Binadamu Mtakatifu

Be blessed!
 
Haya waungwana poleni kwa kungoja leo tunaendelea na hii short coz yetu leo ningependa kuzungumzia baadhi ya tag za html ambazo sikuzingusia hapo awali ili iwe rahisi na kufupisha baadhi ya vitu hivi
Zifuatazo ni tag ambazo tunaweza kuzitumia

1.<header> : Hii huelezea kwamba hiki ni kichwa cha mahudhui

2.<span> : Hutumika kuongeza Css ndani ya content ya tag nyingine , tutaona mfano hapo mbeleni

3.<li>: Hii inamaanisha unaweka orodha yaani list ndani ya html tag hii huwa na watoto wawili ambao ni <ol>: Inamaanisha orderd list(orodha ambayo imepagwa kuanzia 1 na kuendelea) , <ul> : Inamaana ya unoederd list (yaani orodha haijapagwa na huana nukta mwanzoni)

4.<marquee> : Hii hufanya text zisogee kutoka kulia kuja kushoto"ila unaweza kutumia css kubadili muelekeo wa maandishi.

5.<div> : Hii hutumika kujumuisha tag tofauti ili kuweza kutumia script au css moja kwa zote (samahani nimekosa kiswahili kizuri ila mbele tutaelewana)

6.<center>: Hufanya content zote za tag kuonekana katikati katika device ya mtu

7.<footer> : Ni tag la ungo la chini kabisa katika webpage

8.<img>: Hutumika kuadd picha katika page

9.<a>: Hutumika kuadd link

HOMWORK TAFUTENI TAG AMBAZO SIJAZIWEKA

NINAANDAA CODES NA NINAWEKA LEOLEO NIKIJUMUISHA TAG ZOTE TAJWA HAPO JUU
 
Poa , thanks. Leta codes brother
 
<nav> </nav>
<button></button>
<hr></hr>
<form></form>
 
Jamani tafadhali mwenye kufahamu hivi vitabu hapa Tanzania vipo?

Kama vipo ningependa kuja huwa vina-range kwenye bei gani?
 

Attachments

  • 41VSIpPMJQS._AC_SY350_.jpg
    13.7 KB · Views: 25
  • 417bo-mCoBL._AC_SY350_.jpg
    13.4 KB · Views: 28
  • 31b4K-hFH-L._AC_SY780_.jpg
    9.2 KB · Views: 28
  • 41X2i47NXUL._AC_SY780_.jpg
    15 KB · Views: 27
Mi nakushauri acha kupoteza Musa na Java soma pathon
 
Uko kama mimi bro one day nitafundisha wengine hapa hapa kwenye jamii forum ee mungu nisaidie..
 
Habari naomba kuuliza hivi short course gani itakayoniwezesha kujifunza kuhusu network. I mean computer network.
Na inatolewa wapi.

Note: sikusoma IT but Niko interested na mambo ya computer network.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…