Special Thread: Trending Now in Kenya

husikii furaha kupitisha siku bila kutaja jina langu.

ila nafurahi ukinitaja sababu ni kawaida kwa msichana kutaja jina la mwanaume wake anayemkuna vuzuri.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii thread imebadilika kuwa Jukwaa Kuu la umbeya, wanajadili wanaume, kabila za watu na habari za kumeza miswaki 😀 😀
 
Hii thread imebadilika kuwa Jukwaa Kuu la umbeya, wanajadili wanaume, kabila za watu na habari za kumeza miswaki 😀 😀
hahahaha...kumbuka hawa ni vijana wale majobless wanao vizia kufanya ukora maeneo ya cbd.

ukiwa jobless lazima utaishia kujadili majina ya watu badala ya kujadili issues.
wasamehe bure buda.

btw nimeona wanaogopa kuku qoute.... sijui umewafanya nini hawa majobless. [emoji23]
 
Being employed in Ldc is equal to being unemployed in mdc
 
Being employed in Ldc is equal to being unemployed in mdc

there is a big difference in being a jobless in kenya and tanzania.

i love the strict measures used by karaos when they are dealing with the jobless goons who terrorise the streets of nairobi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
 

Tanzania police arrest 32 witch-doctors over ritual albino killings
 
wapo ila kenya kwa ukora mmezidi sababu ya unemployment... ndio maana hessy anawadondosha kama kuku.[emoji23] [emoji23]
tz sio binguni msee ma albino mnawafanyia nini..ma chokoraa na ombaomba wenu walioja kenya wakitoroka njaa na umaskini tz
 
kolo yaonekana issue ya unemployment imekugusa sana mpaka umepata hasira na kuamua kuleta story za tbt kuhusu mauaji ya albinos. [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…