Special Thread: Trending Now in Kenya

my favourite jam from a kenyan(gabu). haki hii ngoma ni moto sana. [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

shot in dar es salaam by a tanzanian youngest and baddest music video director, hanscana.

ila wakenya ni ma-snitch sana na hampendani, ngoma kali kama hii haikutakiwa kuwa na views chache, ilitakiwa iwe inacheza kwenye 1 million views.i'm so disappointed.i think mpo allergic na good music.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Gabu anafaa kuimba na sheng,na genre yake ni kapuka ama genge,Nyimbo kama hizo haziezi mfaa Gabu...ukieza kumbuka wakiwa Punit walikua wanawika sana
 
Gabu anafaa kuimba na sheng,na genre yake ni kapuka ama genge,Nyimbo kama hizo haziezi mfaa Gabu...ukieza kumbuka wakiwa Punit walikua wanawika sana
kapuka is a dead music.
hiyo kapuka kwa generation hii ya sasa atasikiliza nani?. labda wakora na wale mayouth wanaoshinda kwa street waki chew miraa.

huwezi kupata mtu decent anasikiliza kapuka kwa sasa.... ndio maana gabu kaamua kubadili style. sisi wabongo tumemuelewa.
 
Timmy Tdat genre yake ni gani?...Na bado anavuma ako na ma show kila siku..ako na pesa sai mbaya
 
Timmy Tdat genre yake ni gani?...Na bado anavuma ako na ma show kila siku..ako na pesa sai mbaya
that's the reason why your music is stagnant..it won't get anywhere far if your artist will relay on singing genge and kapuka.

wanamziki wenyu hawataki kubadilika. wameng'ang'na kuimba genge na kapuka wakati soko la mziki limeshabadikila.

nimependa vile gabu alivyo change....tayari music lovers wa tanzania wametokea kuipenda kazi yake mpya.
 
Timmy Tdat genre yake ni gani?...Na bado anavuma ako na ma show kila siku..ako na pesa sai mbaya
huyo timmy tdat huku tz hakuna anayemjua, ndio kwanza hiyo jina nimeisikia leo... anajulikana huko huko kenya na county zake. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
huyo timmy tdat huku tz hakuna anayemjua, ndio kwanza hiyo jina nimeisikia leo... anajulikana huko huko kenya na county zake. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Anawika sana kenya ata Uganda...Tz hawezi juu ya style yake.
 
Anawika sana kenya ata Uganda...Tz hawezi juu ya style yake.

tanzania ndio hub kubwa ya entertainment east africa,all east african artist are struggling to make sure their names are widely known in tanzania.

kama msanii toka nchi jirani hafahamiki tz, basi huyo atabaki kuwa msanii mchanga for the rest of his music career. atabaki ku performe kwa counties hall na mashinani mpaka uzee wake. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Unaelewa meaning ya hub of entertainment wewe...kwanini diamond katolea Album Nairobi,kwa nini wasanii wenu wako hapa kila weekend?
 
Kenya

Kenya came in as second in Africa. The report shows that Kenya's E&M industry was worth US$2.1 billion in 2016, up 13.6% on 2015. Revenue is forecast to grow at an 8.5% CAGR over the next five years, hitting the US$3 billion mark in 2020, and totaling US$3.2 billion in 2021. Internet access is the most established industry within the Kenyan market, boasting the largest revenues and one of the highest growth rates to 2021.

Ghana

Ghana comes in as third in Africa. Ghana's E&M industry is beginning to gear up. In 2012, total revenue was just at US$214 million, but four consecutive years of year-on-year growth above 25% have led it to revenues of US$685 million in 2016. This is forecast to more than double over the next five years, with revenues of U$1 billion being surpassed in 2019 and a total of US$1.5 billion forecast for 2021, thanks to a 16.5% CAGR.

Tanzania

Tanzania on the other hand, took the forth position. Tanzania's total E&M revenue stood at US$504 million in 2016, but is set to more than double to US$1.1 billion in 2021, a 17.2% CAGR over the coming five years. The symbolic crossing of the US$1 billion mark is set to occur in 2021. This is significant growth from 2012 where the industry stood at just US$175 million.

usd 2 billion vs usd 500 million..buda mtasoma number
 
Unaelewa meaning ya hub of entertainment wewe...kwanini diamond katolea Album Nairobi,kwa nini wasanii wenu wako hapa kila weekend?
ever asked yourself why many kenyan artist are forced to do music collabos with tanzanians?.i hope you know the answer.

FYI nyimbo zote ambazo mkenya ameshirikisha mtz, zilienda kuwa hit songs na kupata views kubwa ndani ya siku chache. ukitaka ushahidi naweza kukuwekea.

hiyo ndiyo definition halisi ya muktadha wa tanzania kuwa entertainment hub EA.
 
huyo timmy tdat huku tz hakuna anayemjua, ndio kwanza hiyo jina nimeisikia leo... anajulikana huko huko kenya na county zake. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usitamani kumsikiza Timmy T.dat. Ukweli usemwe. Line yake famous, 'eti huko nyuma umejaza kaa diaper!' What the fudge!????? Les Wanyika wakiskiza line kama hizi bila shaka lazima watajitia kitanzi.
 
Usitamani kumsikiza Timmy T.dat. Ukweli usemwe. Line yake famous, 'eti huko nyuma umejaza kaa diaper!' What the fudge!????? Les Wanyika wakiskiza line kama hizi bila shaka lazima watajitia kitanzi.
hahahaha... asante sana msee.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…