Special Thread: Trending Now in Kenya

Nairobi Global Business Centre coming up fast all the 6 towers are now past 20 floors....unconfirmed reports indicate that chinese want to make the main tower the tallest in Africa this means it could be taller than 184 metres that was earlier indicated
 
We are accustomed to have a specific thread for a trending issue.

No agenda in this thread.

Please set the agenda.
 
mi huyu jamaa namuona kama mnafiki vile watu wamepigwa mabomu kudaadeki,wengine wamedanja,watu wamemwaga damu wameandamana road na jua Kali,watu walijazana pale sabasaba kwa ajili yake afu leo analeta u.enge asa hivi anakula mafungu na serikali wakati jamaa zake kibera kule wanalala njaa..!!yaan mimi ndo maana sizipendagi siasa!!
 
Dah watanzania wana stress kupindukia. Povu linamwagika hapa aisee, bila sababu yoyote ile. Frasitireshen! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Dah watanzania wana stress kupindukia. Povu linamwagika hapa aisee, bila sababu yoyote ile. Frasitireshen! πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Huu ubaguzi mta acha lini? Umimi-mimi ni kitu kinapingwa na watanzania wote ndio maana hatuelewi uzi huu. Apartheid in the making
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…