Jaman ila Alonso kwa ninavyomjua lazima tu atakuwa na I'd nyingine nimemmiss kwakweli hivi popoma nae ni mtu wa kuharibu eenhWamepigwa BAN hii wiki ya 3
Wenye vinyonga ndio hutumia mtandao pendwaeti wadada ambao chura inatikisika sana huwa wanatumia ule mtandao pendwa ?
Ndio maana mwanangu namuacha aibe ili aitwe wiz kidEti ukiwa mwizi wa watoto ndo unaitwa "wiz kid"??????? naona elimu yangu ipo juu sana [emoji17] [emoji17] [emoji17]
hapo Mkuu elimu yangu unaionaje [emoji15] [emoji15]ngoja niliamshe dude 2 [emoji125][emoji125][emoji125]
Nahisi wenye Kadi za ccm ni wale hasa machiziy freshKuna member humu jamvini hana kadi ya ccm?
Hao wote wana ID nyingi tuJaman ila Alonso kwa ninavyomjua lazima tu atakuwa na I'd nyingine nimemmiss kwakweli hivi popoma nae ni mtu wa kuharibu eenh
Mkuu[emoji28] [emoji28] [emoji28]Ndio maana mwanangu namuacha aibe ili aitwe wiz kid
Ndio, Ni kweli bodaboda inaelea na pale osterbay sijui kile chuma Cha ardhi Ni wapi kuna grisi.Nasikia bodaboda ndio baba wa ukweli wa mitaa wanayofanyia kazi ndio maana hawahami kituo?
Wazazi wako wanayo iyo division 5?
Mkuu hili swali au jibu [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Namtaka dadako.
Inatumia generator na turbineshivi baiskeli huwa inatumiaga mafuta eeeh?