Huo utakua uzembe wa hali ya juu. Ila kuna mmoja nilimlaga mmewe akaja kujua ila baada ya mimi kuondoka mkoa huo... naskia wamepeana likizodaaaaah'''""" ndio tulipofika huku [emoji23][emoji23][emoji23]
na siku mkipakwa mafuta ifunguliwe special thread ya waliopakwa mafuta baada ya kufumaniwa na wake za watu
kwa maelezo yako sio wewe ngoja tusubiri tuone watu wanavyotiririka lazma aliwe mtu churaMke wa kaka yako ana chura? Usikute mi ndio anaenitafta
daaaaah πππHuo utakua uzembe wa hali ya juu. Ila kuna mmoja nilimlaga mmewe akaja kujua ila baada ya mimi kuondoka mkoa huo... naskia wamepeana likizo
Hatari sanaKajasho kembamba kanakutoka kama umefumaniwa haha
nomaaaaaaHatari sana