Special thread: Wapenda vinywaji visivyo na kilevi (non alcoholic) na changamoto wanazokutana nazo wakikaa na walevi

Nimeshuhudia jamaa amekunywa pepsi nne anaenda sawa na wapiga monde aliokaa nao.
 
Mnatukwaza sana msio tumia vilevi, muwe mnakaa nyumbani tu. Maana mnatuchora sana.
 
Hata wahudumu wa bar wanatudharau Wanywa maji na soda yaani wanachelewa kukuhufumia au kusahau na kurudi Tena kuuliza ....
Yote Tisa kwenye sherehe mbalimbali mf. Harusi na send off kamati nyingi huamua kua wasiokunywa pombe wawekewe 'soda' huku wakiweka aina kibao za Pombe , ni kamati Chache ambazo hujielekeza kwenye baltika , bavaria na juice mbalimbali
 
Yani wanatudharau mno..ila wapotezee..
 
Yaani kama mimi ndio hata soda sinywi basi nikiwa na best zangu labda imetokea bahati nzuri tumekutana kwenye maeneo ya bar kwa ajili ya kikao au mazungumzo fulani, basi kinywaji kinachosindikiza mazungumzo kwangu huwa ni maji, basi wanakereka sana na wengine wanasema eti napoteza pesa kunywa maji,
 
Kwahiyo ww unavyokula unajaza mavi tumboni?
Food is the basic need...huwezi kuishi bila kula na kila mtu anakula...pombe sio basic need...we umemshangaa mtu anayeishi bila kunywa pombe..ndo nikakuuliza hiyo mipombe unayokunywa inafaida gani zaidi ya kukujazia mikojo tumboni...mi naweza ishi bila kunywa hiyo mipombe..sasa wewe kama kidume kweli ishi bila kula chakula...usifananishe basic need na mambo ya kipuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…