Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

kuna lg 49UF770T mpyaa ni 49inch 4k smart ina warrant yake ya mwaka mmoja ni full box na lailoni zake kama unaitaka nicheki kwa no 0716917896 bei ni 1.7m fixed
 
Attachments

  • IMG-20180110-WA0054.jpg
    3.5 KB · Views: 86
  • IMG-20180110-WA0053.jpg
    9.7 KB · Views: 78
kuna lg 49UF770T mpyaa ni 49inch 4k smart ina warrant yake ya mwaka mmoja ni full box na lailoni zake kama unaitaka nicheki kwa no 0716917896 bei ni 1.7m fixed
chukua 1.1m kaka
 
...inch 24 laki 3 LED toshib, inch 26 led toshiba laki 3..inch 22 Lcd techincal laki 2
 
Natafuta ya nchi 32 bajeti yangu ni 650000 nitapata aina gani nzuri na yenye ubora kwa bei hiyo
Iwe smary
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…