cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,869
Nitumie model ya hio sharp ktk no 0629565168Leta la4 nikupe hii sharp AQUOS 32LED
Ndio Tv sio matikiti maji
Nitakutafuta mkuu nime taka niwe napata update ze uzi huuNdio Tv sio matikiti maji
Karibu mkuu hii ni JAPAN NDOGO utapata chochote wadau wapo hata ukitaka tv ya kubeba km begi mgongoni utapatiwa humuNitakutafuta mkuu nime taka niwe napata update ze uzi huu
Duh, ngoja waje, kwangu nimeshindwaNahtaji sumsung 32" nina laki 4 mpya kwenye box yake
Ngumu hio mkuu mybe used....or singsung ila samsung mpya kwa price hio sio rahisiNahtaji sumsung 32" nina laki 4 mpya kwenye box yake
Korea mkuuhv tv za samsung huwa n mali ya mchina au n miliki ya nan?
Mkuu 450000Usiogope mkuu we bei gani huwa unachukua?
Hata lg huwezi kupata kwa hiyo bajeti, labda philipsHata lg ikiwezekana
Karibu mkuu tunakuitaji zaid humu ndaniHabari zenu wakuu. Mimi pia nauza TV mpya naomba ushirikiano wenu. Brand zote