SALUM S HEMED
JF-Expert Member
- Mar 4, 2016
- 1,437
- 1,861
Mkuu Samsung smart 32" inapatikana kwa bei?samsung smart tv inch 60....bei 1800000/=View attachment 755950
550000Mkuu Samsung smart 32" inapatikana kwa bei?
ni LED au LCD hio nyumba?Mwenye nyumba wangu anauza nyumba yake nyingine hapa Kibaha mjini opposite west gate schools. dakika 90 kwenda mbezi Luis, nauli elf moja.
bei milioni ishirini tu
simu:0713-039875 kwa picha zaidi
Nipe mawasiliano mkuu na usafiri mpk naipata kwa hapa Dsm gharama zinakuaje?550000
0629565168Nipe mawasiliano mkuu na usafiri mpk naipata kwa hapa Dsm gharama zinakuaje?
Shukrani0629565168
mpya?550000
second handmpya?
Naomba unijuze bei ya TV aina ya Tcl 32" smart TV os yake iwe ni rokusecond hand
Nami ninayo used sony tv inchi 21 nataka elfu 50 tu fasta kwa picha ni pm
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
uko wapi,,ni nzima,ina remote?,
32 sina TCL ipo inch 43 smart mpya kwa 900000Naomba unijuze bei ya TV aina ya Tcl 32" smart TV os yake iwe ni roku
Hiii bei mpaka bongo sioTcl smart 32"
Price: 400000View attachment 778056
Kwa hio mkuu waweza nisaidia walau kujua tu price ya hio size na specification tajwa32 sina TCL ipo inch 43 smart mpya kwa 900000
500000/=Kwa hio mkuu waweza nisaidia walau kujua tu price ya hio size na specification tajwa
Asante