Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Nahitaji fundi mzuri wa tv nampata wapi?
 
Wadau Niko Lindi nauza tv yangu ya mtumba aina ya Samsung 37 " nimeitumia kwa wiki moja na nusu tu ,niliinunua Zanzibar bado mzima kabisa .
Lengo LA kuuza ni kua nataka kuhamia ulimwengu wa smart TV .bei ni laki tano na nusu tu za kitanzania,550,000Tsh.
Kwa mawasiliano tutafutane kupitia namba hii 0717135641,0693057605
 
Jamani mimi nina zile tv zenye machogo za zamani kama kuna atakayehitaji anicheki na kesho nitaweka specifications zake. Nipo dsm MAENEO YA MBEZI kimara
 
@Abdulwahid mkuu uliniuziga Samsung Smart TV mwaka juzi......nimerudi tena mkuu ile TV wamevunja mlango wameiba....!! Sasa hivi nataka brand yoyote ndogo i.e TCL Inch32 (isiwe smart) ......!!! Sh. ngapi sijui....maana world cup hii kinyonge.
Mkuu kwanza nikupe pole sana, Tcl smart 32 zipo mpaka huko tunakufikishia kwa 440000 lakn kwakua umepata huo mtihani ntakuletea hadi hapo kwa 410000, 0777650286
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…