Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Watu wengine mnajifanya mko update mkiletewa izo tv mnaufyata, nivile tu mtu anataka aonekane yuko latest
ndo tatizo la jf,kuna uzi kule uchumi na Biashara jamaa kauliza gharama ya kujenga nyumba vyumba vitatu,dinning,sebule na choo daah wameibuka watu wanamuambia kwa uchache andaa milioni 200😀😀😀 si balaa hilo
 
Ili jukwaa limebaki nyumba la maonyesho siku hizi yanii wale makonki wa kupost item wameacha km sio kususa kabisa..
 
Ili jukwaa limebaki nyumba la maonyesho siku hizi yanii wale makonki wa kupost item wameacha km sio kususa kabisa..
Kipindi cha nyuma walikuja kwa kasi nzuri kweli kutwa nilikuwa sipitishi siku bila kuangalie yaliyomo.Nadhan kilichowafanya kutoendelea ni ujuaji wengi wa watu wa uku na kutouzika kwa biashara zao km walivyoweka matarajio yao.
 
Samahani mkuu kama sikosei iyo bei apo inasomeka Million 5 je ndo bei sahihi au nimakosa yakiuandishi?[emoji120]
 
Wahenga next week nitakuwa jinini, ni maduka gani hapo Dar naweza pata smart tv genuine kwa bei nzuri. Nimeplani nirudi mkoani na Inch 43 ya boss, Evvoli au Sharp.
 
Wadau tv ya Led aina ya LG, manufactured June 2016, Inch 32, model no 32LH500D kile kitaa chekundu kinawaka na kujizima, kinawaka na kujizima na hatimaye imezima kabisa, yaani moto hauingii kabisa, shida nini?....kimeanza muda sio mrefu baada ya kuiacha kwa takribani mwezi.
 
pi
Nami ninayo used sony tv inchi 21 nataka elfu 50 tu fasta kwa picha ni pm

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Picha weka hapa Mbona kanuni za matangazo jf ziko wazi tafadhali mwenye muongozo aweke link hawa wengine ni wageni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…