Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Kuuliza si ujinga.. Hivi kuna kifaa chochote ambacho unaweza kuchomeka kwenye TV halafu ukatumia hicho kifaa kuchomeka flash drive? Nimeuliza hivyo kwa sababu kuna TV hapa nimeweka ukutani lakini inakua ngumu kidogo kufikia usb port.
 
Vipo vingi tu Mkuu inategemea Tv yake ina ports zipi na zipi pia swali lako halijaeleweka vizuri tatizo ni Tv imebana ukutuni au vipi hujaeleweka vizuri nyoosha swali.
 
Kuuliza si ujinga.. Hivi kuna kifaa chochote ambacho unaweza kuchomeka kwenye TV halafu ukatumia hicho kifaa kuchomeka flash drive? Nimeuliza hivyo kwa sababu kuna TV hapa nimeweka ukutani lakini inakua ngumu kidogo kufikia usb port.
Kwa juu juu Nilichokielewa ni hiki tafuta huu waya unaitwa Usb 2.0 Male to Female hapo kushoto ni Male(Dume) unachomeka Tv kisha hapo Kulia ni Female(Jike) unaweka Flash mtindo umeisha.
 
Ilikuwaje mkuu mpka ikawa hivyo?

Tunaomba kufahamu kama hautojali lakini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni story ndefu sana ila jamaa ana Tv zangu mbili tangia mwanzoni mwa December tumefanya biashara fresh lakini kupata mzigo wangu imekuwa mtihani...kuna hatua ambazo tayari nishazichukua na ninaamini kupitia haya ninayoyafanya sasa hivi tv zangu nitazipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikutakie mafanikio katika hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo bei poa nairobi ni bei gani?
 
Inategemea unataka inch ngapi, mfano TCL Roku tv nchi 40 ni hardly Tshs.650,000 ila bongo TCL ya GoLive nchi 40 huipati kwa bei hio!

Mkuu bei zao hazina tifauti sana na hapa kwetu nimecheki now inc 43 37k ya kule hebu i-calculate hapa uone utakavyofurahi
 
50 ni around 1.3m unapata tena ya Roku tv sio zile Linux za Go live tv tunazouziwa k.koo. Usishangae wakianza kuleta Roku Tv watauza 1.7m kwa 50" screen hapo k.koo!

Wacha nichukue bongo tu sasa ya kawaida mzee baba

Lakini smart si inafanya kazi poa?

I mean nnaweza kupita mzigo wa net kama kawaida magoogle youtube ku-install vi-app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…