Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Wafanya biashara wa kibongo tamaa mbele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kuna channel inaitwa ROKU ndio free hauitaji kulipia, ila Netflix, Hulu Plus, HBO NOW, VUDU, etc lazima ulipie ndio upate access ya streaming.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wabongo ujanja ujanja mwingi, yaani ku
Now days biashara iko mitandaoni lakini SALUM S HEMED anakubali kuchafuka na kuharibu biashara yake kwa kutokuwa mkweli na muanifu kutokana na hili siwezi tena kununua bidhaa mtandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
sema hana anaona shida, nami ashawahi kunifanyia usanii na pesa nilikua nishalipa, ila alichokuja kunitumia sicho
 
Now days biashara iko mitandaoni lakini SALUM S HEMED anakubali kuchafuka na kuharibu biashara yake kwa kutokuwa mkweli na muanifu kutokana na hili siwezi tena kununua bidhaa mtandaoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unayejiita mtu Kati stress zitakuua sikujua km umekuja kulialia na Jf pia nilijua ni kule Instagram tu..wew lini umenunua item kwangu then aujaipata hio item?? THIBITISHA..swala lako ni police case umeshalifikisha ktk sheria Sasa mbona kila sehem nakuta mipasho yako? Mwanyamala,dukan magomeni, kigamboni..kama unafika mpka kwa fundi tv unashindwa kulipa cost za TV yako mbovu Hizo stress zako tafuta pakuzipeleka km mahakamni pia unaona sio sehem sahihi..I told u Sina sehem ya kuifadhi tv mbovu Wala Sina godauni la kupokea item mbovu..pia hapa sio sehem yangu ya kuzungumza ahadi yetu tarehe 20 nakusubir

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wabongo ujanja ujanja mwingi, yaani ku

sema hana anaona shida, nami ashawahi kunifanyia usanii na pesa nilikua nishalipa, ila alichokuja kunitumia sicho
Aisee wew Ticha Mimi sikujua km wew ni choko ningekuwa nishakupa stahiki yako mapema Sana japo huwa sifanyi machoko..yanii wew kila sehem ukisikia salum lazima usimamishe matako yako..nilikutumia item sio? Uliposema item ni tofaut na model uliyotaka je ukupata pesa zako? Na mbona uliendelea kuitaji item kwangu? Na hio simu anayotumia mkeo umeitoa wapi? Nilipotuma tv guard na HDMI balance yangu iliyobaki kwenu wew na mwenzio mlinimalizia?ulishawai kuona nalialia Nilishakwambia toka mwaka juzi Tabia za kichoko na za kimpunga acha wengine tumeshastaff kuwaingilia machoko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…