Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

mkuu kuwa makin na biashara yako kutoa maneno makali aitakusaidia kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mda mwingine tunaitaji tu Tv zenye format hio 4k ila kuzitumia atuzitumi coz DStv,Azam,zuku,startimes, n.k Hakuna inayorusha picha yenye format hio UHD na ukisema udownload video ya dakika 3 km vile music ya Ali kiba, daimond unakuta ni MB500 Sasa km video ya dakika 3 ni MB Zaid ya 400 je movei ya 2hours? Smtmz Tv yenye format ya 4k kibongobongo ni Kama pambo tu ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulitumia njia gani mkuu? Maana kwa posta kuna tozo za VAT tu, kama mzigo umefikia viwango vya kulipia kodi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TCL,BOSS au EVOLI Smart 32"
Nina laki 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…