son_of_masia
JF-Expert Member
- Oct 5, 2015
- 378
- 264
Posta hyo hyo mkuu,wale mamother pale ni wakuda kweli ukijumuisha na jamaa flan hivi ndo anayedili na hzo.hayo mahesabu niliyopewa nilichoka ikabidi nikalipie tu kwenye account yao nmb ninusuru mzigo wangu.Ulitumia njia gani mkuu? Maana kwa posta kuna tozo za VAT tu, kama mzigo umefikia viwango vya kulipia kodi.
Sent using Jamii Forums mobile app
INAUZWA
1Trrabite trancend external drive
Condition used
Bei 100000View attachment 994509
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaah naona star x quality ya picha ni buree kabisaa.. Resolution yake ipoje kwan??
Mda mwingine tunaitaji tu Tv zenye format hio 4k ila kuzitumia atuzitumi coz DStv,Azam,zuku,startimes, n.k Hakuna inayorusha picha yenye format hio UHD na ukisema udownload video ya dakika 3 km vile music ya Ali kiba, daimond unakuta ni MB500 Sasa km video ya dakika 3 ni MB Zaid ya 400 je movei ya 2hours? Smtmz Tv yenye format ya 4k kibongobongo ni Kama pambo tu ndani
Sent using Jamii Forums mobile app
0718919725, 0777650286Kiongozi nipe mawasiliano yako PM tufanye biashara.
Mkuu vipi mnauza sound bar za xiomi au blitz wolf? Au kma zipo zisizozidi 400000 tsh ni zipi? Na home theatre sony dv 650 bei gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko wapi
Kwa hiyo mzigo ukifika Dar es Salaam unalipiwa kodi?
Kwa hiyo mzigo ukifika Dar es Salaam unalipiwa kodi?
Kwa mfano TV ya laki nne mpaka kuichukua itabidi nilipe shilingi ngapi
Huu uzi umeingia KINYONGO
Ulitumia aliexpress standard shipping au njia ipi maana mbona simu yenye thamani ya dollar 172 haijalipiwa hizo gharama au ilikuwaje mkuu?Posta hyo hyo mkuu,wale mamother pale ni wakuda kweli ukijumuisha na jamaa flan hivi ndo anayedili na hzo.hayo mahesabu niliyopewa nilichoka ikabidi nikalipie tu kwenye account yao nmb ninusuru mzigo wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah aliexpress standard shipping,wanasema kwa simu na computer ni 18% ya vat ndo unalipa.ila hyo sio haikuwa na vigezo hvyo ndomaana wakainclude custom dutiesUlitumia aliexpress standard shipping au njia ipi maana mbona simu yenye thamani ya dollar 172 haijalipiwa hizo gharama au ilikuwaje mkuu?
Simu hulipii mkuu walitaka tu kukupiga jamaa.Yeah aliexpress standard shipping,wanasema kwa simu na computer ni 18% ya vat ndo unalipa.ila hyo sio haikuwa na vigezo hvyo ndomaana wakainclude custom duties
Sent using Jamii Forums mobile app