Niuzie Decoder ya azam pekee bila dish lakeIpo samsung nch 32 mzee,imekaa tu hapa ukutani,bei nipe 450,000/=,na kama unataka na king'amuzi kipo cha Azam..karibu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mzigo upo ilala msimbazi center. Huwa naleta kila mara. Njoo chagua zilizopo uzipopenda nambie nikuletee ipi. 32" - 350. 37" - 450. 42" - 500. Samsung na LG used za nje.Mwenye LED TV ya SONY,SAMSUNG naomba offer yako ma picha inch 28 au 32 Iwe USED au Anaeuza duka la TV USED za Nje.karibu
Nisaidie no zako mkuu.Mzigo upo ilala msimbazi center. Huwa naleta kila mara. Njoo chagua zilizopo uzipopenda nambie nikuletee ipi. 32" - 350. 37" - 450. 42" - 500. Samsung na LG used za nje.
Courtesy of miamiatz
Labda nchi 27 used flatNahitaj used TV flat screen inch 32 bajet yangu ni laki 2.5 namba zangu 0767563849 nipo singida
Sent using Jamii Forums mobile app
Wap?
ungekuwa hapa bongo ingekuwa poa sana maana kwa bei hii ningekuja kuifata mwenyewe ila kwa huko zenj ina maana gharama zitaongezeka tu hapo