Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

usitume hela ndugubutatumiwa box tupu kaka au tv mbovu nsawa nyiangu? hakuna samsung inch 43 kwa 480 tshs ogopa utapeli
Utaratibu ni kuwa tunatuma kwa basi unalochagua. Tunafikisha ubungo. Dereva anakupigia kukuambia amepokea tv gani. Unatuma tigopesa then dereva anakuja nayo.
 
Kwa hiyo Mkuu hiyo ndio class A pia au ili Kesho asubuhi na mapema tumalize biashara idy iwe nzuri kwangu
 
Mkuu Mr abdulwahid nimegugo nimetizama nikaona kua hiyo model wanatoa na free wall bracket je na kwako ni hivyo au
 
Ipo mkuu, wall mount yake ipo ndani ya box so hatuwezi kufanya khiana tukaitoa, ondoa shaka kabisa utapata na wall mount yake free
Mkuu Mr abdulwahid nimegugo nimetizama nikaona kua hiyo model wanatoa na free wall bracket je na kwako ni hivyo au
 
Kwa hiyo Mkuu hiyo ndio class A pia au ili Kesho asubuhi na mapema tumalize biashara idy iwe nzuri kwangu
Mkuu hiyo ni model tu haihusiani na class.
Class za product za mchina huwa zipo tofauti kutegemea na soko lilipo.

Product ya mchina kwa ajili ya soko la ulaya au USA ni tofauti na huku Afrika. Ndio maana utasikia model aina moja ila ina class tofauti A, B au C.
Natumaini utakua umenielewa.
 
Ndio nimekupata ndio maana namuuliza kua kwa item tajwa na maelezo aliyotoa je nitapata products ambayo mi class A au nitapata hizi hizi za bara la afrika ambazo kiuhalisia sio imara sana
 
Ndio nimekupata ndio maana namuuliza kua kwa item tajwa na maelezo aliyotoa je nitapata products ambayo mi class A au nitapata hizi hizi za bara la afrika ambazo kiuhalisia sio imara sana
Mkuu kuna jambo nimekutumia PM unaweza kucheck.
 
Popote utakaipata kwa hiyo bei niambie na mm ntakupa 50000 kwa kila tv ntakayochukua, na ntachukua kama 100pcs
Ukweli kabisa mimi nina 400000 cash kabisa hata tukionana sasa ivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…