Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
Wahusika hamulioni hili swali ama nini?Kwa 200k naweza pata flat TV mpya?
Hapo atapata 20" ya star xWahusika hamulioni hili swali ama nini?
Chukua hii ila ina mstari kidogoKwa 200k naweza pata flat TV mpya?
Uza laki 3 chapSamsung smart 32"
UK used
Bado iko good condition
Bei ni 400000 tuView attachment 1210524View attachment 1210526View attachment 1210527
Nimeshaiuza kitambo mno na kuna wateja wngn wamekosa walitaka kama hiyo kwa bei hiyo hiyo ya 400000Uza laki 3 chap
Smart?Lg led 43"
Used ya UK
Ipo good condition(mpya kasoro box tu)
Bei ni 550000
0777650286, 0718919725
View attachment 1210440View attachment 1210441
Tv Guard zinauzwa wapi?Hili tatizo linatengenezeka,kukiwa na giza washa tv halafu mulika na toch kwenye screen wakati tv iko ON utaona picha japo kwa mbali,taa za kumulika ili led ziwake zimeungua,taa zipo madukani nyingi tu,tafuta fundi uitengeneze halafu uiuze,kumbuka kutumia TV Guard
Umeshauza?Nauza projector yenye uwezo mkubwa sana kwa matumizi ya biashara na nyumbani.
Aina-SHARP DLP XG-C10SA
*3200 lumens
*SVGA(800*600)
Full HD(1920*1080)
*lamp life time 10000 hours
Imetumika masaa 770
Yani ipo vizuri sana una weza kutumia masaa 24 bila kujizima.
Bei Tsh 500000 au kama una flat TV tunaweza kubadilishana.nipo Dar
Kwa mawasiliano 0652868486View attachment 1218476View attachment 1218477
Toa specification na bei basi, picha ya kwanzaMusic systems, ushindwe ww tu
0777650286, 0718919725View attachment 1206054View attachment 1206055View attachment 1206056View attachment 1206057View attachment 1206058View attachment 1206059View attachment 1206070
Nikikupa Samsung 40 Inch Smart TV unaniongeza shi ngapi?Nauza projector yenye uwezo mkubwa sana kwa matumizi ya biashara na nyumbani.
Aina-SHARP DLP XG-C10SA
*3200 lumens
*SVGA(800*600)
Full HD(1920*1080)
*lamp life time 10000 hours
Imetumika masaa 770
Yani ipo vizuri sana una weza kutumia masaa 24 bila kujizima.
Bei Tsh 500000 au kama una flat TV tunaweza kubadilishana.nipo Dar
Kwa mawasiliano 0652868486View attachment 1218476View attachment 1218477
Sio smartSmart?