Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Wakuu naomba kuelimishwa hapa kuhusu izi tv smart kuna ambazo zinatumia android sysytem na kunazinginesio za android sijui mfumo wake unaitwaje? Na je zip ni nzuri kati ya zinazotumia android na izo zingne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Abdulwahid, nashukuru sana kwa uaminifu na ufanisi wako katika utendaji kazi. Nlipokea mzigo wangu kwa urahisi na niko very satisfied so nimeona nikupe credit hapa kabisa maana It's due.

Sasa ghetto linawaka tu.

#satisfiedcustomer

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…