Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Lg smart 49"
Brand new ya 2019
Bei: 1m
0777650286, 0718919725
Note: hiyo ni bei ya tv ikiwa Zanzibar, kwa walio nje ya Zanzibar na wakataka kusafirishiwa utachangia 70000 kama gharama yabusafir na mambo ya kodi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unachokiongea mkuu nami kilinikuta ..November 2017 nilinunua SUMSUNG led Tv 40 tena huku huku mikoani ukizingatia huku mikoani wanatupiga bei sana hasa kwa bidhaa ambazo brand zake zinamajina makubwa kwakweli ile tv nilinunua jina tu yn ilikua inapicha mbovu bora hata ile chogo yng, kwabahat mwanzoni mwa mwaka huu nikapata safari ya Dar huku nyuma wahuni wakapita nayo ile tv nikaona potelea pote nikaingia k/koo kuna jamaa anauza tv star-x anawekaga mabandiko yake humu nikavuta star x- 43 led tv asee nimefika nayo hom natest kitu kipo ang'avu yn HD kwl kwl nikajikuta nawashukuru wale wahuni kwakupita nalile gaka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera wewe afadhali ulibahatika kupata vibaka wa kukuondolea kero maana hakuna kero mbaya umenunua dude kubwa kwa bei kubwa halafu unaweka sebuleni , umeunga dstv au azam lakini mpira unaangalia hata sura ya mchezaji huitambui lakini ukiangalia TV yenyewe mabango kibao mara 4K, mara smart, HDMI lakini picha sasa!!!!? nina option ya kuibadilishia utumbo CARD nimeambiwa kuna kadi mzuri za mchina zinapatikana kwa bei nafuu ikishindikana ni kutaim usiku wa manane kwenda kuitupa jalalani au najifanya nampelekea fundi kutengeneza na kuitelekeza huko huko
 
Hhhhh, mkuu nacheka kama mazuri vile ila dah kiukwel inaonekana inakuudhi, pole kiongoz

Sent using Jamii Forums mobile app
 

TATIZO NI HILI KWA UELEWA WANGU MM

watu wanapenda TV zenye majina makubwa kama samsung sjui LG lakini wanasahau kuwa hizo ni bei kidogo wanataka kwa bei pungufu so mchina hawez kuwatupa watu wake kawatengenezea copy ...mm nipo china elewa nikikwambia kuna copy za brand zote za tv mpka kuna TCL copy ..lg copy ..samsung copy ....kuepukana na hz copy check serial number ipo kwenye every original smart tv ...kwa hz nyingne sina uhakika ....tukiachana na hayo kwa research nilioifanya mm TCL ndio best affordable company made by chinese coz nmelinganisha skyworth, hisense which ni chinese brands n mostly tcl ina picha nzur zaid na quality nzur ndio maana wameweza kuuza piece nying kwa nchi za europe na marekani .....so kama unahitaj TV yenye picha nzur na smart Kwa bei nafuu TCL original ndio your goal hz nyingne ni nzur lkn hazijaifikia ....the rest majina ya ajabu ajabu hapo utapata ktu kwa hela ulioitoa ...hayo ndio maoni yangu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…