Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Nch 32 display 300 si bora ninunue mpya? Biashara kichaa kiyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii TV ungeipiga picha kiwa na Matangazo ya TBC ingekua poa saaanaa

au ungetegea kipindi cha taarifa ya Habari then unaweka TBC unapiga picha

ila DSTV hata TV ya chogo picha yake si mchezo,ni Pure FHD
 
Mi TV Box S inauzwa kwa bei chee. Hiki ni kifaa kinachoipa uwezo TV yako ambayo siyo smart TV kuwa smart TV na pia hata kama TV yako ni smart lakini haina android OS basi unahitaji kifaa hiki ili kufaidi features za Android.

- inatumia android os
- 4K ultra HD
- ina Google assistant (unatumia voice search)
- ni portable
- 8GB storage kwa ajili ya apps. (unaweza kutumia flash pia kama external storage
- HDMI, USB PORT

Bei yake 150,000

Napatikana DSM, kwa mawasiliano zaidi unaweza kunichek PM, nipigie namba 0752 522 234 au whatsapp 0654 910 120.

Picha moja ni ya kifaa chenyewe kikiwa complete, na nyingine ni jinsi inavyoonekana kwenye tv.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nitakucheck mkuu,nilikuwa naitafuta sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…