Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
kwa Zanzibar hata Samsung napata Ila shida ni kusafirisha sina hela ya nauli.
kwa Zanzibar hata Samsung napata Ila shida ni kusafirisha sina hela ya nauli.
nataka TV used Hamna mahali nimeandika mpya.Zanzibar upate Samsung mpya 32" kwa 250000? Hata hao wa Dubai na China wangekua wanakuja kuload mzigo huku
Sent using Jamii Forums mobile app
nataka TV used Hamna mahali nimeandika mpya.
Nadhani Uzi ni kwa wauza TV tofauti tofauti akija mwenye TV ya ofa hiyo tutafanya biashara,
Nadhani Uzi ni kwa wauza TV tofauti tofauti akija mwenye TV ya ofa hiyo tutafanya biashara,
300w tunakuletea kwa 340000
Za 1000W
Dz350 550000
DZ650 650000
Dz 950 870000
Sent using Jamii Forums mobile app
wapi ulipo nikuletee tv aina ya boss inch 43 kwa 650,000.. imetumika muda mchache sana ina box lake na kila kitu.. nakupa na stand ya ukutani
tv iko ilala dar
0713799522View attachment 1459212View attachment 1459214
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatakuja atokeeNadhani Uzi ni kwa wauza TV tofauti tofauti akija mwenye TV ya ofa hiyo tutafanya biashara,
Star x smart 4k Android tv 43"
Brand new 2019
Bei: 570000 tu
0777650286/0718919725
Tupo Mtendeni Zanzibar, tunafanya na delivery kwa walio nje ya Zanzibar kwa uaminifu wa hali ya juu
Na kwa Mikoa Dar es salaam, Morogoro, Dodoma, Singida, Mtwara, Lindi na Mbeya unaweza kulipia baada ya kupokea Mzigo
Karibuni nyoteView attachment 1452431View attachment 1452432View attachment 1452433
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu mzgo ni smart..?wapi ulipo nikuletee tv aina ya boss inch 43 kwa 650,000.. imetumika muda mchache sana ina box lake na kila kitu.. nakupa na stand ya ukutani
tv iko ilala dar
0713799522View attachment 1459212View attachment 1459214
Sent using Jamii Forums mobile app