Abdulwahid
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 2,766
- 1,565
kaka hii inakuwa na king'amuzi ndani ?Kutoka Mtendeni Zanzibar hadi Mbeya
Tcl smart Android 43" kwa mdau Mbeya
Ametaka alipie baada ya kupokea mzigo
Kwetu si tatzo, atalipia baada ya kupokea mzigo
Karibuni wana Mbeya, agiza chochote ulipie baada ya kupokea mzigo wako
0777650286/0718919725View attachment 1456756View attachment 1456757
Sent using Jamii Forums mobile app
kaka hii inakuwa na king'amuzi ndani ?
mkuu una LG32LF5100 size gani na ni kiac gan?Tcl smart Android 32" na 55"
55" Mwanza, 32" ikungi Singida
Zinaondoka leo Zanzibar
Wamelipa kabla ya mzigo kufika, wangeweza pia kulipia baada ya mzigo kufika
Tunawashukuru sana kwa imani kubwa mliyonayo kwetu
0777650286/0718919725
View attachment 1460629View attachment 1460630View attachment 1460633View attachment 1460637
poa ntakuchek 2yapangeNdio
Hiyo model inaonesha ni 32" halafu bado unaniuliza size gani, kiufupi hatuna model hiyomkuu una LG32LF5100 size gani na ni kiac gan?
Karibupoa ntakuchek 2yapange
poa ila ckujua kama iyo 32 inamaana hiyo nilijua labda ni version tu mkuuHiyo model inaonesha ni 32" halafu bado unaniuliza size gani, kiufupi hatuna model hiyo
Hiyo ni 32" mkuu, ukiona model no ya lg inaanza 32lf.......halafu inafata namba nyengn hiyo no ya mwanzo hapo inakua ni size ya hiyo tvpoa ila ckujua kama iyo 32 inamaana hiyo nilijua labda ni version tu mkuu
πππππHiyo ni 32" mkuu, ukiona model no ya lg inaanza 32lf.......halafu inafata namba nyengn hiyo no ya mwanzo hapo inakua ni size ya hiyo tv
Wekeni Tv za solar zenye USB Port na bei yake
Mkuu naweza pata model number yakeNdio
HiiMkuu naweza pata model number yake
Mbona cjaona kwenye specification hio built in decoder?
Hisense 32 inch inaendaje mpaka dar?Zipo star x 24" 210000
Evvoli 32" 270000
Hisense 32 inch inaendaje mpaka dar?
Ntakua nimejichanganya hapo ndugu, hata hivo hizo zenywe zimetuishiaMbona cjaona kwenye specification hio built in decoder?