Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

sony hometheater Watts 1000
mziki mnene Na quality mzuri
Bluetooth
FM radio
550,000View attachment 1510141
Dah Yangu kama hiyo hiyo DAV DZ650 imezingua dek inshort imeharibika,nahaha sana kupata deki pekee nimeshindwa nimejaribu kuingia mtandaoni niagize huko uchinani nimeshindwa.sasa natafuta mtu ambaye anaweza kuniuzia deki tu au anaeweza kuniagizia huko uchinani tufanye biashara..
 
Mkuu Abdulwahid msaada katika hili
 
Mwenye hii mashine ya tv boss nchi43 smart aniuzie
 

Attachments

  • IMG_20200721_134627_064.jpg
    331.3 KB · Views: 11
Wakuu! Natafuta Kioo cha TCL 55".. Naomba kujua bei pamoja na ya ufundi wa kukifunga kama ikiwezekana!

Natanguliza shukrani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…