Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

nenda kariakoo pale karibu na wanaouza magazeti asubuhi kuna fundi mmoja ndio mambo yake hayo kubadilisha vioo vya tv
Kariakoo magazeti yanauzwa sehemu nyingi, unamaanisha wapi exactly?
 
Kariakoo magazeti yanauzwa sehemu nyingi, unamaanisha wapi exactly?
Kwenye round ya about ya zamani ambapo sasa wameweka mataa mkono wa kulia,kuna wapiga picha na wauza vifaa kama rimoti za tv,kuna fundi mmoja anaitwa Mudy,ukimuulizia utampata
 
Kwenye round ya about ya zamani ambapo sasa wameweka mataa mkono wa kulia,kuna wapiga picha na wauza vifaa kama rimoti za tv,kuna fundi mmoja anaitwa Mudy,ukimuulizia utampata
Ok, pale Kuna kona nne,
Nadhan unazungumzia kona ya kuelekea kamata na kuelekea mjini. Nitaenda
 
wakuu habarin za majukumu natafuta tv ñchi 40 nakuendelea flat ofa yangu 300000
 
Moelectro 32inch ANDROID TV
Bei: 300,000
Contact: 0623991826

Features
ANDROID TV
2 HDMI
2 USB
VGA
 
Nahitaji hisense inch 43" nipo Dar bajeti yangu ni 550k ambaye yuko serious tufanye biashara nichukue mzigo leo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…