Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Kenya vitu vyao vipi chini Sana Tena electronics ndo usiseme muhimu n kuzingatia kanuni za manunuzi na ubora wa bidhaa
Utakutana na kadhia za Boda hapo mpakani,
TRA watakunyoosha ushuru utaona Bora ungenunua huku huku dar au Zanzibar.

Unafuu wa Nairobi,
Uko kwenye biashara ya Simu,spea zake na vitu vidogo vidogo vya kubebeka Kwenye begi.
Ila hivi vikubwa vya kuonekana Kama TV, utakadiriwa USHURU utachoka mwenyewe.

Nmefanya Sana biashara za Nairobi-Dar, kwaiyo nakushauri nilicho nauzoefu nacho mkuu.
 
Kwa hiyo unatuma pesa then anakutumia mzigo right...? Usalama wa pesa za mteja upoje kiongozi...?
Mi natumaga TU Moja kwa moja,
Jamaa Hana shida Kabisa,

Na mzigo unaupata Kama ulivoagiza, Kama Kuna chagamoto yoyote kwny mzigo, anakufahamisha mapema kabisa kabla hata hajaupakia UKIRIDHIA KABISA NDIO ANAKUSAFIRISHIA.[emoji116]
 
Basi sawa kiongozi...! Shukran.
Kila la heri mkuu,

Abdulwahid kaanza KUFANYA biashara ya tv Miaka na Miaka tuko Naye humu ndani.

Sijawahi kuskia kamdhulumu yeyote humu ata thumni.
Na hata Kama kungekua na malalamiko Basi tungeona nyuzi Watu wakilalamika.

Na kibiashara angekua ni mtu mbabaishaji au mdhulumaji, Basi asiweza kuexist Miaka yote hii humu ndani akiuza TV kila kukicha.
 
Nashkuru sana ndugu yng na asante kwa ushuhuda wako, Allah akubariki sana
 

Thanks a lot brother sijawahi kuona comments za watu wakimuongelea kama ilivyo kwa Mwl.RCT ...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…