Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

Samsung lcd mtumba 40 inch
Ina sehemu ya HDMI 3, AV, VGA kasoro port ya usb hamna
Kigogo mburahati/mwisho
0692402211
 
Samsung lcd mtumba 40 inch ina picha kalii na sauti kama sabwoofer haina kipengele
Ina port zote kasoro port ya flash
Bei 350,000
Call 0692402211
 
TCL smart Tv
Iko full box
Clean as new
Bei 350,000
Location tegeta
0784142034
 
Hisense smart 4k inch 55 iko creen inafaa kwa matumizii ya kuonesha banda la mpira au nyumbanii pia ni check tumalizane location mtoni kijichi 0685 809 502 📌 beii million 1.1
 
Nahitaji remote ya tcl smart tv inch 32.mwenye nazo anicheki
 
Naomba kuuliza kwa yeyote mwenye uelewa anaruhusiwa kujibu.
kuna utofauti gani au ni ipi bora katika ya Hisense inch 43 smart na hii TCL inch 43 smart tv?
Ipi bora kati ya hizi mnanishauri nichukue.
Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…