Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa



Wakuu nahitaji Soround speaker za sony kama hizi hapa mwenye nazo tafadhali tufanye biashara. Pia abduli kama unaweza nisaidia najua kwa zanzibar hizo vitu ni rahisi kupatikana.
Nnazo man
 
mkonooni nina philips smart tv 43" LED kwa picha tukutane hapa 0786371108
tv hii naiuza 660,000 maongezi yapo
 
Zipo mkuu
0777650286 & 0718919725
Mkuu TV zako flat screen led HDTV series 4 Zinashindwa kabisa kusoma HDD nilinunua kwako mwezi wa Pili mwaka nikapokelea bandari ya dar nikakutumia tena nikiwa tanga kwa ndege nayo hivyo hivyo nimejaribu HDD tatu wakati wenzangu zinadetect kwa HDD zilizojaribia kwangu, labda Mkuu ujue hii series inatatizo ya kupeleka umeme wa kutosha kuwesha kuboost HDD kudetect maana lengu kubwa lilikuwa ni kutumia pia na hdd
 
Sio kweli, tatizo ni wewe hujui wapi unaweza kuipata, external hard disc haina tofauti yoyote na flash, hata ile ulioirejesha niliitest inasoma kama kawa, ni wewe hijui wapi pa kuiona na niliwahi kukufahamisha lakini naona haikusaidia
 
Unapochomeka HDD lazima iungurume na ilete pop up message kama imedetect huko kote ulikoniambia nimecheck kile kitaa cha ext HDD kinablink kuashiria umeme unaofika kwenye HDD ni mdogo
 
Reactions: Lee
Unapochomeka HDD lazima iungurume na ilete pop up message kama imedetect huko kote ulikoniambia nimecheck kile kitaa cha ext HDD kinablink kuashiria umeme unaofika kwenye HDD ni mdogo
Nnachojua mimi external hard disc haitegemei umeme ili isome kwenye tv, tv ikiwaka nayo itasoma kama ambavo husoma flash disc ya kawaida, mbona sisi tulizitest zote zimesoma, hata hiyo uliyoirejesha mbona imesoma? Na nilikutumia hadi picha ukaona, wewe external hard disc yako ni ya aina gani? Yaani unanishangaza kusema hard disc inategemea umeme ili isome kwenye tv, sema kifaa ulichonacho lakini sio hard disc, hard disc lazima isome
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…