Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

....led tv inch 40...bei laki saba NCHI united kingdom mwazilishi anaitwa john baird....jina la tv ni BAIRD
 
Nauza samsung LED TV ya 23 inch, series 4. Imetumika miaka 3, haina tatizo lolote. Sababu ya kuuza ni kwamba nimenunua kubwa zaidi. Bei tsh 270,000 inapoa kidogo. Aliye interested nicheck pm au through 0717301520.
 
inch 43 smart unayo model ipi?
Sina mkuu smart inch 43 ilikuwepo hii LG nipo nachukua pesa mda huu hapa city centre...tukijaliwa kesho itakuwepo smart bado sijawa na uhakika ni inch ngapi...mawasiliano yamekuwa magum na aliyeipakia majira ya wakati ila ipo njiani
 
Full hd samsung inch 43 used ya UK ila bado ipo ktk goodcondtion....bei 750000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…