Special Thread Ya Ku'screen shot Simu Yako Tuone Applications Za Kijanja Unazotumia.

Special Thread Ya Ku'screen shot Simu Yako Tuone Applications Za Kijanja Unazotumia.

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,123
Reaction score
2,449
Kama heading inavyosomeka wadau,Screen shot simu yako tuone Apps za kijanja unazotumia,Labda hujui ku'screen shot!?kwa Tecno na simu zingine ispokua Samsung,Bonyeza kidubwana cha kupunguzia sauti na kidubwasha cha kuzimia simu kwa pamoja,Kwa wale wenye Samsung bonyeza kudubwana cha kuzimia simu na button ya Katikati kwa pamoja.
@NgarenaroBoy.
 

Attachments

  • a.jpg
    a.jpg
    34.4 KB · Views: 40
  • ah.jpg
    ah.jpg
    24.3 KB · Views: 40
Watu hawajapenda idea ya screenshot,hebu nitoe support
Sawa Sister,but nimehisi kitu huenda wameweka picha zao halisi kwenye wallpaper so wanaogopa watajulikana,,Ila aina kwere sio lazima,
 
Dooh iyo ya kibabe sana,ila iyo Microsoft excell imenikumbusha chuo somo la Computer for Journalists,Daah mwezi October iz already around the corner

Ni kweli shule ilikuwepo
Mie naitumia sana nje ya chuo
 
nilicho gundua hahaha wengi wenu boyz/girz ni wa betij wazuri sana means kua mwanamke akiwezeshwa anaweza magu tunyooshe baba
 
Back
Top Bottom