Unatumbukiza kwenye maji af unaitoaSISI WA iPHONE TUNABONYEZA WAPI NA WAPI
Sawa Sister,but nimehisi kitu huenda wameweka picha zao halisi kwenye wallpaper so wanaogopa watajulikana,,Ila aina kwere sio lazima,
Dooh iyo ya kibabe sana,ila iyo Microsoft excell imenikumbusha chuo somo la Computer for Journalists,Daah mwezi October iz already around the cornerWatu hawajapenda idea ya screenshot,hebu nitoe support
View attachment 1211654
Dooh iyo ya kibabe sana,ila iyo Microsoft excell imenikumbusha chuo somo la Computer for Journalists,Daah mwezi October iz already around the corner
Hiyo livescore ni yako ya kufuatilia matokeo au ya bae anayetumia nokia tochi??Watu hawajapenda idea ya screenshot,hebu nitoe support
View attachment 1211654
Hiyo livescore ni yako ya kufuatilia matokeo au ya bae anayetumia nokia tochi??
mzee baba umesomea law nn?