sijakataa mkuu na io ni survey tu niliyo ifanya mmKama sio Illegal mbona sawa tu man!!
[emoji23][emoji23]..kumbe yako..hopefully itatick uliyoiweka leoYangu ya kufuatilia mikeka
My baby anatumia sofascore katika simu yake
[emoji23][emoji23]..kumbe yako..hopefully itatick uliyoiweka leo
In football everything is possible..tusubiri 90 minsSidhani manake nilitaka Arsenal afe ila naona hataki kufa na dakika zinapepea
In football everything is possible..tusubiri 90 mins
kwanini[emoji2][emoji2][emoji2]Isipokuwa Samsung.
Wenye Samsung hawaruhusiwi hapa
Hadi katiba mkuu?!
mzee baba umesomea law nn?
hahaha tulio piga IT nasi tuna vi app vyetu aisee maisha bhana[emoji28][emoji28]ndo maisha nilio yachagua
Wazee pia tunaweka humuhumu?[emoji53]Kama heading inavyosomeka wadau,Screen shot simu yako tuone Apps za kijanja unazotumia,Labda hujui ku'screen shot!?kwa Tecno na simu zingine ispokua Samsung,Bonyeza kidubwana cha kupunguzia sauti na kidubwasha cha kuzimia simu kwa pamoja,Kwa wale wenye Samsung bonyeza kudubwana cha kuzimia simu na button ya Katikati kwa pamoja.
@NgarenaroBoy.
Noma kweliWazee pia tunaweka humuhumu?[emoji53]View attachment 1211702