Special thread: yanayojiri mgogoro wa Tanzania na wananchi wake kuelekea uchaguzi wa tarehe 29:10:2025

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Uzi huu ni kwa ajili ya yanayojiri Tanzania baina ya mtawala mmoja na wananchi wake ambao hawataki kumpigia kura lakini yeye anasema lazima watu wamchague watake wasitake

Endelea kufuatilia update

Asante sana

SAYUNI BOY
 
Mwaka jana. 2024. Wananchi weng hawakutoka kupiga kura. Na CCM ilipata 98% ya kura.

Na Itajirudia mwaka huu.
99% na hakuna kitu kitafanyika.
 
Tarehe 4 mwezi wa kumi Samia asitisha kampen babati mjini ashindwa kufanya kampen
 
Tarehe 3 mwezi wa 10 captain tesha akiwasha
Asema hayuko tiar kuongozwa na wahuni

Amwambia mkuu wa majeshi ashike nchi

Awaonya polisi kama watafyatua risasi hata moja kwa raia tarehe 29
 
Upuuzi gani huu unaandika mada ya kitaifa unaanza na salamu za kidini, hujui hili taifa siyo la kidini, lekebisha uzi upate wachangiaji wa kila kabira na dini zoto na mizimu yote.
 
Tarehe 6 mwezi 10 polepole atekwa na watu wasio Juliana

Kaka adai ni mafwele
 
Kama wananchi hawataki kumpigia kura si kuna wagombea wengine wa kupigiwa kura? Basi wakapigie wengine na mwisho INEC itatangaza aliyepata kura nyingi awe rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…