Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tulisema Wamarekani ni wajinga kumchagua Smoky,Dimentia and Zombie Joe,tukapigwa madongo kweli kweli.Isn't it clear now that we were after all correct.Jamaa waliiba kura ili wahakikishe amepita wafanye vitu vyao through him.Wajanja tuliona utapeli wa NWO,ila Wamarekani wenyewe hawakuona,huruma sana.

Look at thisπŸ‘‡,hata Saudi Arabia,one of Americas'closest ally wanam-mock,hali ya smoky and Dimentia Joe Biden ni mbaya sana.

 
Ha ha haa,ndio maana Urusi wala halalamiki Ukraine ikipewa Silaha.
Anajua TU atakuja kuziharibu.
Eti No fly zone,no fly zone kwa Urusi!?
Maweee!
 
Mbona uingereza ilijitoa umoja wa Ulaya?
Kila kitu kinawezekana.
Issue hapa tumeambiwa ni NATO na siyo EU, pamoja na yote ngoja tusubiri na ningefurahi kweli huyo Mama ashinde halafu tuone kama France itajitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…